Muda wa service umefika au unahitaji kubadili mafuta? Rasha Garage inatoa huduma za car service za kawaida kwa magari madogo, sedan, hatchback na SUV, kuhakikisha gari lako linaendelea kufanya kazi vizuri.
Service ya mara kwa mara husaidia kuzuia matatizo makubwa ya injini, gearbox na mifumo mingine kabla hayajatokea, na kupunguza gharama za matengenezo ya baadaye. Oil, filters na vipuri vidogo vinapatikana Mwanza kupitia Rasha Garage.
Tuambie tatizo la gari lako au weka booking โ tutakusaidia haraka.