Taa ya Check Engine imewaka au gari lina hitilafu isiyoeleweka? Rasha Garage inatumia vifaa vya computer diagnostics kubaini chanzo halisi cha tatizo kabla ya kufanya ukarabati wowote.
Computer diagnostics inatusaidia kubaini chanzo cha tatizo kwa usahihi zaidi kabla ya kufanya ukarabati โ hii inaokoa muda na gharama kwa kuepuka kubadilisha vipuri visivyohusika na tatizo halisi.
Tuambie tatizo la gari lako au weka booking โ tutakusaidia haraka.