INAPAKIA...
๐Ÿ“ž 0756 810 770  |  0677 810 771 ๐Ÿ“ฎ P.O Box 2800, Mwanza, Tanzania
๐Ÿš— Customer Portal
Auto Electrical Mwanza

Fundi Umeme wa Gari Mwanza โ€” Rasha Garage

Taa, betri, alarm au ufunguo wa gari una hitilafu? Rasha Garage inashughulikia mifumo yote ya umeme ya magari madogo na SUV โ€” wiring, battery, sensors na key/immobiliser programming.

Huduma Zetu za Umeme wa Gari

Mfumo wa umeme wa gari mara nyingi ndio chanzo cha matatizo yasiyoeleweka โ€” kama gari kushindwa kuwaka, taa kutofanya kazi, au alarm kutokea bila sababu. Tunachunguza mfumo mzima kabla ya kufanya ukarabati.

๐Ÿ“… Weka Booking ๐Ÿ’ฌ WhatsApp Sasa

Maswali Kuhusu Auto Electrical

Gari langu haliwaki kabisa, tatizo ni umeme?
Inaweza kuwa battery, wiring, au immobiliser/key. Tuletee gari lako Rasha Garage Mwanza tufanye uchunguzi wa mfumo wa umeme.
Ufunguo wangu hausomeki na gari, mnaweza kusaidia?
Ndiyo, tunafanya key programming na immobiliser coding kwa magari madogo na SUV.

Gari Lako Lina Tatizo?

Tuambie tatizo la gari lako au weka booking โ€” tutakusaidia haraka.

๐Ÿ’ฌ
๐Ÿ“žSimu ๐Ÿ’ฌWhatsApp ๐Ÿ“…Booking